He'll..! Jamn wateja wetu leo tumekuja na SET nzuri Sana ya Sufuria na Flampeni ambazo zinakaa sufuria4, flampeni2, na bakuli3, jaman Wapendwa hii Ni OFFER!! Basi Tusiiache ipite jaman. Wahi Sasa📩 Tuma Order yako Mapema tukufanyie FREE DELIVERY BUREE POPOTE ULIPO NCHINI TUPE LOCATION TUNAKUJA HADI MLANGONI KWAKO. karibun Sanaa wapendwa wateja wetuu,🙏🏻🙏🏻
Home & FurnitureKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
Shamba linauzwa Kiwangwa masuguru shamba lina hati na lina ukubwa 10 pia shamba limegusa barabara kuu ya lami Bagamoyo to msata road bei ni milioni 15 kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628665 kwa maelezo zaidi
Jamni ndugu wateja wetu Ile SET yetu ya sufuria4, Flampeni 3, bakuli2, vijiko na mwiko Basi imewadia jamni karibun Sana Wapendwa wateja wetu na hizi SET Zimebaki Chache mnoo wahi Sasa DM Chap 📩 Tuma Order yako Tukufanyie FREE DELIVERY popote ulipo nchini. karibun Sanaa YARA HOMEWARES TUAMINI NA SISI TUKUAMINISHE 🙏🏻🙏🏻
Nikochi Zurich sana linanyama unaweza hata kulala unatoa tu mito, wanakaa watu wanne kama wanamwili,linetumika miezi sita limetumika kiustaarabu wahari yajuu,bado jipya
Kichomi hutokea mapafu yanapovimba kwa sababu ya maambukizi Kama nimonia au kifua kikuu.mara nyingi tatizo hili ni ishara ya kuwepo maambukizi ya virusi kwenye mapafu.pia maumivu kichomi yanaweza kusababishwa na 1)Magonjwa yanayosababishwa na asbesiti 2)Saratani fulani 3)Jeraha au kuumia kifuani 4)Magonjwa ya baridi yabisi