This kiti imetengezwa kwa viwango vya hali ya juu, durability ni amazing na mbao iliyotumika ni Mninga.
Kinaweza kutengeneza kwa mbao aina ingine. Tunafanya kazi nyingi za home, office, hotels, lodges na nk.
Karibuni sana.
Read more
Description

Nauza friza yangu ya Exquisite (Lita 200) ambayo nimeitumia kwa muda mrefu na bado ni nzima kabisa. Nimeamua kuiuza ili kupata nafasi zaidi ofisini kwangu kwa ajili ya maboresho. Sifa na Hali ya Friza: 1. Uwezo: Inagandisha vizuri sana na kwa haraka, inafaa sana kwa biashara ya vinywaji au vitu vya kugandisha. 2. Compressor Imara: Kama unavyoona kwenye picha...
Hello..!! Jamn Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea pressure cooker na Brenda Ni Moja Kati ya Vifaa ambayo vinatumia Umeme lakini vinaurahisi Sana kwa huduma za nyumbani au HOTELINI Yaani zipo chap mnoo: Tuanze na👇 PRESSURE COOKER! Ambayo inatumia takribani dk,15-20 Kuiisha MAHARAGE na huchkua dk,10 kuchemsha Maji kwa Haraka zaidi na haili Umeme Sana lakini ...