Mashine ya kukatia viazi kwa haraka zaidi, Ina vikatio vya size mbili, yenye matobo 36 na nyingine 64. Ni nzuri kwa kuandaa salad, kibakuli chake kina ukubwa wa 870ml. Ni rahisi kuisafisha kwa kuachanisha tu na kurudisha baada ya usafi. Karibu sana????