Nauza shamba Kiwangwa Bagamoyo lenye ukubwa wa hekari 70 lipo umbali wa kilometa 5 kutoka barabara kuu ya lami bei kwakila heka moja ni laki 500,000/= mawasiliano zaidi PGA. 0659628665/=
Ujipatie ultrasonic humidifier kwa Tsh 10,000 tu na ofa ya chupa moja ya marashi. Kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, na hata kwenye gari. Wasiliana nasi kwa simu namba 0628892260 & 0619080040 & 0629119046 Karibuni sana
Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
Shamba linauzwa lipo mbwewe pwani lina ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 4kutoka barabara kuu ya lami eneo ni zuri sana bei ni laki nne tu kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628662 kwa maelezo zaidi.
Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
Shamba linauzwa Kiwangwa masuguru shamba lina hati na lina ukubwa 10 pia shamba limegusa barabara kuu ya lami Bagamoyo to msata road bei ni milioni 15 kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628665 kwa maelezo zaidi
Nafundisha kupika visheti, keki , chapati na mzinga wa nyuki kwa bei ya elfu thelathini (30,000) tu kwa kila pishi. Darasa letu ni mpaka tunahakikisha unakua fundi kabisa