Eneo la beach Plort linauzwa lenye ukubwa wa heka 10 lipo umbali wa kilometa 1 bei ni million 40 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu 0659628665
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 1 kutoka barabara kuu ya lami eneo zuri sana linafaa kwa uwekezaji makazi kilimo ufugaji na nk kwa maelezo zaidi piga 0659628665 shamba bei ni milion mbili kwa heka moja.
Shamba linauzwa lipo mbwewe lina ukubwa wa heka 100 bei ni laki nne umbali kutoka barabara kuu ni kilometa 4 kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
NYUMBA INAUZWA MILION 95 Chamazi, Temeke - Dar es Salaam 📞 Simu/WhatsApp: +255 744 993 715 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ SIFA ZA NYUMBA: ✅ Vyumba 3 vya kulala ( chumba kimoja ni Master Bedroom) ✅ Sebule kubwa ya kisasa ✅ Jiko la kisasa lenye makabati ✅Dining room ✅ Choo cha wageni (Public Toilet) ✅ Umeme na maji vipo ✅Electricity Fence ✅Geti la Rimoti ✅Full Ac ✅ Dakika cha...
TUNAUZA FURNITURE AINA ZOTE KWA BEI NAFUU SANA KITANDA, KABATI MILANGO MITATU NA MIWILI, BED SOFA NA MBAO, SHOE CASE, SHIE RANK KITCHEN CABINET COFFEE TABLE,BEDSIDE DINNING TABLE 0766537765
This is a Belgium made BunkBed which can withstand around 80kgs of human weight on each bed.....Selling it because my children have already grownup and it has no nails but can be assembled and dismantled with allene keys and very handy to carry with you wherever you go....Serious buyers can call me on 0743020001.....Price is negotiable
Home & FurnitureMshihiri Street, Morogoro Road, City Center
Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
KIWANJA KIKUBWA SANA KINAUZWA NA BANK LOCATION: KIKO MKWALIA KITUMBO MKULANGA. UMBALI WA KILOMITA TATU TOKA MAIN ROAD UKUBWA NI EKA 1¼ BEI: SHILINGI MILIONI 6.5 UMILIKI WAKE NI MKATABA WA MAUZIANO CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @excela_and_properties Kujiunga na group l...
ENEO ZURI LIKO BARABARANI LINA MITI YA MISEDELE, MBAO, KARATASI, VIBERITI, TOOTHPICK N.K LINAUZWA NA BANK SOWETO, KIROKA MAENEO YA DIOVUVA MOROGORO LOC :SOWETO, KIROKA MAENEO YA DIOVUVA MOROGORO AREA :SQM 2200 PRICE : MIL 7 UMILIKI : MKATABA WA MAUZIANO. CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255...