Nauza mini washing machine kilo 4.5
Inafua nguo aina zote adi viatu
Pia inakausha nguo
Inatumia umeme mdogo
Na ni rahisi kutumia kwa mtu yoyote
Bei yake ni 150,000
Delivery ipo unalipia mzigo ukikufikia
Read more
Description
Nauza mini washing machine kilo 4.5
Inafua nguo aina zote adi viatu
Pia inakausha nguo
Inatumia umeme mdogo
Na ni rahisi kutumia kwa mtu yoyote
Bei yake ni 150,000
Delivery ipo unalipia mzigo ukikufikia
Hello..!! Jamn Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea pressure cooker na Brenda Ni Moja Kati ya Vifaa ambayo vinatumia Umeme lakini vinaurahisi Sana kwa huduma za nyumbani au HOTELINI Yaani zipo chap mnoo: Tuanze na👇 PRESSURE COOKER! Ambayo inatumia takribani dk,15-20 Kuiisha MAHARAGE na huchkua dk,10 kuchemsha Maji kwa Haraka zaidi na haili Umeme Sana lakini ...
Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
Nauza friza yangu ya Exquisite (Lita 200) ambayo nimeitumia kwa muda mrefu na bado ni nzima kabisa. Nimeamua kuiuza ili kupata nafasi zaidi ofisini kwangu kwa ajili ya maboresho. Sifa na Hali ya Friza: 1. Uwezo: Inagandisha vizuri sana na kwa haraka, inafaa sana kwa biashara ya vinywaji au vitu vya kugandisha. 2. Compressor Imara: Kama unavyoona kwenye picha...