1) Nyumba ipo Tunguu viwanja vya plan.
2) Ni nyumba nzuri haijachakaa ya kuhamia moja kwa moja.
3) Ina vyumba vitatu: viwili ni master.
4) Ina ukuta na electric fence.
unaweza kupaki gari tatu ndani ya fence.
5) Nyuma ya nyumba ina nafasi ya kutosha, unaweza kujenga vyumba vya ziada viwili.
6) Kuna kisima na Tenki ya maji.
7) Jiko, public toilet, dining, stoo, ukumbi.
Full tiles
8) Price is negotiable
Read more