Jinsi Nilivyogundua Kuwa Kuvaa Vizuri Hakutoshi Kuna Kitu Muhimu Nilikuwa Nakosa… Nilikuwa napenda kuvaa vizuri – mashati yamenyooshwa, viatu safi – lakini bado, kulikuwa na kitu fulani kinakosekana. Outfit ilikuwa safi, lakini haikuwa na ule mguso wa kipekee unaonifanya nionekane wa tofauti. Mpaka siku moja, rafiki yangu aliniambia: "Jaribu kuvaa cheni. Ita...