Nauza mashine ya barafu 120 kwa masaa 4 Tu Mashine inatumia umeme wa 5000 kwa barafu 120 hadi 150 Unauwezo wa kuuza barafu 250 hadi 300 Mashine hii pia ina makopo yake ya kugandisha barafu za Tofali.makopo 40 total Mashine wa biashara nzuri na inakupa faida kwa haraka. Wahi tuwahi mashine naiuza bei ya kutupa.
KIUKWEL WENGI WALIZOEA ZILE MASHINE NYINGINE ILA HII NI ZAIDI NA BORA KWA MATUMIZI YAKO YA KILA SIKU IKIWA NYUMBANI KWANZA INATUMIA UMEME MDOGO PILI NI RAHISI KUTUMIA-(Simple)... Wahi Sasa tupa Order yako Mapema tukufanyie FREE DELIVERY BUREE POPOTE ULIPO NCHINI 📩 Au tupigie hivi Sasa kupitia WhatsApp namba yetu, ☎️0759065148... Karibun Sanaa,🙏🏻 Kwanini Utes...
Home & FurnitureKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
NYUMBA INAUZWA IPO IRINGA MJINI IPO KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA IRINGA KATA YA GANGILONGA NAKUKUHAKIKISHIA NI YA KISASA IMEJENGWA NA WA ISRAEL NA RAMANI KUTOKA ISRAEL
Mayai ya kienyeji yaliyotokana na kuku waliotunzwa kwa njia asilia, bila kutumia madawa ya kisasa. Yamejaa virutubisho vya asili, na yana kiini chenye rangi ya dhahabu, ishara ya afya bora. Yanapikwa haraka, yana ladha tamu, na ni chaguo bora kwa familia inayojali lishe
3 beautiful pure bred German Sheperds (2males, 1 female), veeery active, price per each (negotiable). 1.5 month old, after 1st vaccination. 2.1 years old father on site - bought him 2 years ago from certain embassy in Dar as puppy, 1.9 years old mother in Kigamboni. For the whole lot (father, mother) check the videos - youtube.com/playlist?list=PL_p7hwa0vzr0...
Nauza shamba la Umwagiliaji shamba hilo lipo Kiwangwa Bagamoyo linaukubwa wa hekari 30 kila eka moja inauzwa 1.5M shamba lipo umbali wa kilometa 14. Kutoka barabara kuu ya lami
Nauza shamba Kiwangwa Bagamoyo lenye ukubwa wa heka 350 lipo umbali wa kilometa 10 kutoka barabara kuu ya lami kila heka moja inauzwa laki 300,000/= mawasiliano zaidi.0659628665/=
Nauza shamba la eka 300 Kiwangwa Shamba la eka 300 linauzwa kwakila eka 1 laki 300,000/= shamba linaumbali wa kilometa 9 kutoka barabara kuu ya lami Shamba hili lipo kata ya kiwangwa kijiji cha bago wilaya ya bagamoyo Kwa mawasiliano zaidi piga no.. 0659628665/= + 0625929692/=
TOYOTA COROLLA RUMION Model 2009 Engine 14900cc Mileage 52,504km Color silver New tyres Push to start Low Millage Price Tzs 18,500,000/= Call/WhatsApp 0689265275
Mashamba mazuri ardhi nzuri yenye rutuba inakubali mazao yote zipo heka 300(300acres) Kila heka ni shilingi laki sita(600000) Yapo bagamoyo kiwangwa Kutoka barabarani Hadi shamba lilipo ni kilometer sita
FAIDA ZA CEREBRAIN ○ Inaboresha seli za kwenye ubongo ufanyajikazi wake. ○ Inawezesha damu kuzunguka vizuri kwenye ubongo ○ Inaboresha ufikaji wa virutubisho kwenye ubongo ○ inaboresha coronary artery & damu kuzunguka vizuri kwenye moyo ○ Inaboresha njia ya hewa na kuondoa pumu ○ Inaboresha ufanyàji kazi wa ubongo, kuondoa hari ya kuuma kwa kichwa mala k...
Nauza shamba Kiwangwa bago lenye ukubwa wa eka 160 lipo umbali wa kilometa 8 kutoka barabara kuu ya lami bei kwa kila eka moja laki 300,000/= kwa mawasiliano zaidi piga no..0659628665/=