Kwa wanaohitaji kifus na kokoto vinapatikana kisarawe mjin Kwa Bei nafuu kokoto imara na nzur Kwa wanaohitaji tuwasiliane Kwa maelezo zaid...0786267138
Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000