✨ Elegant Gold Earrings – Premium Quality ✨ Ongeza mvuto na urembo kwa muonekano wako kupitia hereni hizi za dhahabu zenye ubora wa juu. ✔️ Haififii rangi ✔️ Nyepesi na nzuri kwa matumizi ya kila siku ✔️ Muonekano wa kifahari na wa kipekee Price: TSH 7000 Delivery inapatikana ndani ya mji. DM kwa maelezo zaidi au kuweka oda 📥✨
Nikochi Zurich sana linanyama unaweza hata kulala unatoa tu mito, wanakaa watu wanne kama wanamwili,linetumika miezi sita limetumika kiustaarabu wahari yajuu,bado jipya
Kiwanja kizuri tambarare kinauzwa maeneo ya Bunju Beach, Dar es Salaam - Tanzania. Kiwanja hicho kina ukubwa wa sqm 1,400 na hati miliki ya kiwanja hicho ipo. (Title Deed is Available)