???? INAUZWA: GUTA LA MIZIGO USED ????
Aina: SINORAY
CC: 200
Hali: Imetumika lakini iko katika hali nzuri sana
Bei: TZS 5,000,000(Milioni tano)
???? Tayari kwa matumizi, inawaka vizuri, haijawahi pata ajali.
???? Imehifadhiwa vizuri na iko tayari kuingia barabarani.
???? Wasiliana nami kwa maelezo zaidi au kuona pikipiki:
???? [0611200803]
Usikose hii ofa – guta imara kwa bei nafuu! ????????
Read more