Apartment for sale

TZS 180
Houses & Apartments for Sale
8 months
Tanzania
Dodoma
Dodoma
1115
274 views
SKU: 7671
Published 8 months ago by Happy Thomas
TZS 180
1115, Dodoma, Dodoma, Tanzania
Get directions →
274 item views
NYUMBA 4(4in1) ZINAUZWA MICHESE DODOMA

Zipo umbali wa kilomita 7.6 kutoka city center na mita 70 kutoka reli ya SGR.

Zipo nyumba nne, mbili zimekamilika kila kitu. Zipo kwenye kiwanja kimoja chenye ukubwa wa 2600sqm, kimepimwa na kina hati.

Nyumba ya kwanza Ina vyumba vikubwa viwili vyote master , sebule na sehemu ya jiko na dinning.

Nyumba ya pili inafanana na ya kwanza Ina vyumba vikubwa viwili vyote master, sebule na sehemu ya jiko na dinning.

Nyumba ya tatu haijakamilika, ni pagale lenye vyumba vitatu vyote master, sebule na sehemu ya dinning.

Nyumba ya nne ni servant quarter Ina chumba master na sebule, chumba master peke yake na public toilet.

Kuna eneo la laundry, kisima Cha maji kirefu sana, matenki, compound Ina paving blocks na garden ya kuvutia. Eneo lote limezungukwa na fensi. Ujenzi umezingatia standard ya juu sana.

Kuna eneo kubwa limebaki unaweza kujenga nyumba zingine na kuweka swimming pool.

Nyumba hizi zinafaa sana kibiashara. Unaweza ku-redesign kuwa lodge au hotel. Aidha unaweza kuzifanya ziwe nyumba za kupangisha au ukaziongezea thamani zikawa full furnished apartments.

Bei ni milioni 180Ml.

Tupigie 0769619980
Kwa maelezo zaidi. Read more

Specs

Property Size Sq Ft 2600
Bedrooms 3-Bedrooms
Bathroom 1-Bathroom

Description

Kwa maelezo zaidi.

Safety Tips

  • Never make a payment or provide personal information until you have verified the seller and the electronic device in person.
  • Be cautious of sellers asking for advance payments before you meet and inspect the device.
  • Always test the electronic device to ensure it is fully functional before making a purchase learn about device faults on this page.
  • Make sure to meet in a safe, public place when dealing with sellers.
Print
Report

Recently viewed

Nabeel ikbal Pro Nabeel ikbal 1 month
Samsung galaxy A50 GB 128 Ram6
TZS 295,000
Samsung galaxy A50 GB 128 Ram6
Dar es Salaam
*Hello March* ???? *Ramadhan Kareem for all Muslims*???????? (Msaka mipunga????) *SAMSUNG A50 SIMU NZURI *Ram 6 *GB 128 *mAh battery:4000 *2 LINE *Inches size 6.4 *MP 25 *All color available* *Full box*???? *Warranty:2 years IlE BEI TSHS TSH:/=295,000/= *Maongezi yapo* *Call me NBL: 0677 789 575_Tigo 0746 267 886_Whatsapp *Wa mikoani* *tuna tuma mzigo mkoa w...
New Exchange Allowed Wholesale Studio
TZS 295,000
Hekima Sanga Hekima Sanga 1 year
WAUZAJI WA MABATI JUMLA NA REJAREJA
TZS 23,500
WAUZAJI WA MABATI JUMLA NA REJAREJA
Dar es Salaam
Wahi Sasa ujipatie mabati yalio Bora kabisa na kudumu pasipo kushuka kutu Nunua leo ujipatie ofa ya Usafiri mpaka saiti kwako Bure Wasiliana nasi kufahamu zaidi karibu saana
Other Services 12102 - Buguruni Chama
TZS 23,500
Are you a professional seller? Create an account