NYUMBA INAUZWA ????MAKULU OYSTERBAY -Nyumba ina vyumba 5 vya kulala kimoja master, sebule, dining, jiko, stoo na public toilet & bafu -KIWANJA - Square meter 446 -ina hati miliki ya wizara BEI - Million 120
NYUMBA YA KIZAMANI INAUZWA NYAMANORO -nyumba ya pili kutoka barabara ya lami (airport road) -ukubwa wa kiwanja ni 30x15 =450 Sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 130 ???? 0743 220097
NYUMBA INAUZWA MILIONI 36 IPO CHANIKA MWISHO STAND WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM ENEO: SQM 400 CALLS/WHATSAPP 0747 847 888 INAVYUMBA VITATU (KIMOJA MASTER) SITING ROOM, DINNING ROOM, INA JIKO, STORE, MADIRISHA YA VIOO NA PUBLIC TOILET MAJI YAPO UMEME UPO HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO BEI MIL 36 TU! Calls/WhatsApp 0747 847 888 TUNAHUSIKA NA UUZAJI WA NYUMBA, VI...
NYUMBA INAUZWA BUSWELU WILAYANI -ina vyumba vinne vya kulala ( viwili ni masterbed room ), sebule, jiko, stoo, dinning na public toilet -Pia kuna servant quater ya chumba kimoja self contained, sebule na jiko -ukubwa wa kiwanja ni 640 Sqm -kiwanja kimepimwa tayari -bei Milioni 170
NYUMBA INAUZWA ILEMELA -ina vyumba vinne vya kulala ( vyumba vitatu ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni sqm 970 -ina hati miliki ya wizara -bei Milioni 250
Near the beach lies a great property in the heart of Mbezi Beach. The property is just a one minute walk from the main road and has a total of 6 bedrooms. It is in a great neighborhood. The property in question can both used for residential as well as commercial purposes. Fir further details contact me.
NYUMBA INAUZWA ILEMELA JIRANI NA MWANZA AIRPORT -ina vyumba vitatu vya kulala ( viwili ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo, extra room na public toilet -ukubwa wa kiwanja ni SQM 1,123 -ina hati miliki ya wizara (99 yrs ) -ina Air condition, makabati, servant quater, standby generator na car parking space kubwa -nyumba ya kwanza kutoka barabara y...
SHULE INAUZWA DODOMA MJINI -Mahali - ZUZU MTAA WA PINDA Jirani na RING ROAD Shule ina madarasa manne (4), Ofisi 4, numba na vyumba vitatu na vyoo vyenye matundu 12. Eneo - Square meter 33,260 Pamepimwa na kuna kibali cha shule/taasisi. Bei - Million 230
JENGO LINAUZWA BUSWELU -lina jumla ya vyumba 19 vyote ni self contained -ukubwa wa eneo ni 70x70 =4,900 Sqm -ina hati miliki ya wizara -bei Tsh Milioni 900 -punguzo lipo ???? 0743220097