Shamba linauzwa lipo kijiji cha bago kata ya kiwangwa halimashauli ya chalinze wilaya ya bagamoyo linaukubwa wa heka 100 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa umbali kutoka lami kilometa 9 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 whatsapp ipo bei sh laki tano kwa heka moja kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana