CONNECTION POINT TEGETA.
Karibu Connection point Tegeta pale KB Bar.
Utapata nyama iliyopikwa kitaalam sana
-Makange
-Kivuruge
-Changamoto
-Kukaanga.
Nyama hii ina serviwa na ndizi, ugali au chapati.
Jiko lipo wazi masaa 24 kila siku kasoro Jumanne tu.
Kwa mawasiliano zaidi weka order kupitia 0687575770.
Tunafanya na delivery kwa watu wa karibu na Tegeta.
Read more