Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka 50 linafa kulima mazao ya aina yoyote au makazi umbali kilometa 5 kutoka lami bei sh laki nane kwa heka moja barabara shafi mpaka shambani kuona bule kalibuni sana kiwangwa bagamoyo pwani