Viwanja tulivyo navyo vimegawanyika katika makundi (3) Kundi la kwanza. Ukubwa ni futi 50 kwa 40 Vipo barabarani kabisa. Umeme na maji vyote vipo Bei ni tsh Million 3 Kundi la pili. Ukubwa ni futi 50 kwa 40 Vipo kwenye barabara ya mtaa mbali kidogo na barabara kuu. Umeme na maji vyote vipo Bei ni tsh Million 2 na laki 5 Kundi la tatu. Ukubwa ni futi 50 kwa 4...