Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
Smart watch iko vizuri na bado mpya ina earphone na unaweza kuconnect na simu yako na ina memory gb 8 unaconnet na saa hizo earphone ina track na mengineo wasap no 0624239962
NYUMBA 4 KWENYE KIWANJA CHA 2600sqm, ZINAUZWA MICHESE DODOMA. zipo kilomita 8 kutoka mjini. Zipo jirani na reli ya SGR. Nyumba mbili zilizokamilika Zina muundo wa vyumba viwili vyote master sebule dinning na jiko. zingine mbili bado zinahitaji finishing. Moja ujenzi umefikia kwenye linta Ina vyumba vitatu vyote master, sebule, dinning na jiko. Nyingine ni se...