92 Products For Sale in Dar es Salaam
Explore Health & Beauty for sale in Dar es Salaam. Find great deals on different products including electronics, furniture, vehicles & more from verified sellers on Zoom Tanzania.
There was problem loading your listings, please try to refresh this page
Refresh
Fatuma Mussa
1 year
LIVEN ALKALINE COFFEE
TZS 45,000
LIVEN ALKALINE COFFEE
Dar es Salaam
Liven coffee ni Arabic coffee, Kahawa bora kabisa duniani iliyotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu kwa kutumia virutubisho asilia. Faida ya liven alkaline coffee ????Kahawa hii inakupa nguvu zaidi na kuondoa uchovu ????Inaondoa sumu mwilini ????Unaondoa gesi na kusaidia wenye vidonda vya tumb ????nakinga na kutibu kisukari (sugar free) na pressur ????Inasaid...
TZS 45,000
Fatuma Mussa
1 year
C24/7 supplement
TZS 80,000
C24/7 supplement
Dar es Salaam
Hii ni C24/7 ni bidhaa pekee inayotibu na kuzuia magonjwa zaidi ya 100 kwa wakati mmoja. . Mpaka yale magonjwa sugu kama kisukari, Pressure, Fibroids cancer, ulcers, uvimbe, Teza dume, Matatizo ya uzazi na mengine mengi kibao. . Ni kirutubisho kilichobeba zaidi ya virutubisho 22,000 kama vitamins zote A_B12, Zinc, Calcium, Proteins, Amino acids, uyoga aina 1...
TZS 80,000
Pro
Imani Joseph Ngowi
1 year
BFSUMA X POWER MAN COFFEE
TZS 50,000
BFSUMA X POWER MAN COFFEE
Dar es Salaam
FAIDA ZA AFYA ZA KUTUMIA X POWER COFFEE KWA WANAUME ● Kuongeza hamu ya ngono, kupunguza uchovu na dhiki na kukuza msimamo wa uume ● Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa kwa kulinda tezi dume ● Kukuza mzunguko wa damu, kuboresha nguvu za mwili Kwa nini XPower Coffee kwa Wanaume? ● Epimedium, inayojulikana kama Prostaep-I katika bidhaa za BF Suma, ni teknolojia...
TZS 50,000
Pro
Imani Joseph Ngowi
1 year
BFSUMA REFINED YUNZHI ESSENCE
TZS 80,000
BFSUMA REFINED YUNZHI ESSENCE
Dar es Salaam
1.Hutibu wowote bila upasuaji ikitumika na Pure & Broken Ganoderma spores. 2.Hupandisha na kuimarisha kinga za mwili hivyo husaidia wenye kinga dahifu 3.Husaidia sana wagonjwa wa kansa au walio katika tiba ya mionzi au dawa za kansa daraja la mwanzo 4.Husaidia wanawake wenye tatizo la Hormonal imbalance 5.Husaidia kwa wenye matatizo ya uzazi P. I. D ,hur...
TZS 80,000
Pro
Imani Joseph Ngowi
1 year
Prostate Relax capsules
TZS 75,000
Prostate Relax capsules
Dar es Salaam
1.Huondoa tezi dume na kuitibu bila upasuaji - 2. Huzuia kuvimba kwa tezi dume (prostate gland) na kutibu matatizo ya haja ndogo kwa wanaume 3. Husaidia na huongeza uzalishwaji wa majimaji yanayolinda mbegu za kiume (semen) zisiharibike Dalili za tezi dume 1. Kutomaliza mkojo 2. Kupata ugumu wakati wa kukojoa 3. Kushindwa kuzuia hamu ya kukojoa 4. Wakati wa ...
TZS 75,000
Eddy
1 year
Mtc store
1 year
Mtc store
1 year
LAM Beauty Store
1 year
Michael Majansam
1 year
Pro
Mohammed Jivanjee
1 year
jandro chezue
1 year
Ann Mallya
1 year
Daudi Andrew
1 year
Fatuma Mussa
1 year
GISENG ORIGINAL
TZS 80,000
GISENG ORIGINAL
Dar es Salaam
FAIDA ZA RED GINSENG (KOREAN RED GINSENG) ????️♂️Huimarisha nguvu za kiume. ????️♂️Husaidia kuweka sawa kiwango cha sukari. ????️♂️Huimarisha moyo. ????️♂️Inapunguza shinikizo la damu.(BP) ????️♂️Husaidia Kupunguza uzito. ????️♂️Huimarisha kinga za mwili. ????️♂️Hupunguza dalili za uzee. ????️♂️Huimarisha mifupa na misuli. ????️♂️Hupunguza mafuta mw...
TZS 80,000
Fatuma Mussa
1 year
SHEA BUTTER
TZS 20,000
SHEA BUTTER
Dar es Salaam
SHEABUTTER AVAILABLE ?Faida za Raw or Unrefined Shea Butter kwa Ngozi na Nywele. Inafanya ngozi kuwa laini na nyororo, Inatibu pumu ya ngozi (eczema) Kuzuia Kukatika nywele Unaweza kutumia kama Steaming ya nywele, Kuondoa na Kuzuia Makunyanzi ( wrinkles) Paka kama uking'atwa na mdudu (insect bite) Inazuia mionzi ya jua Inasaidia Walioungua na mkorogo/ vipodo...
TZS 20,000
Fatuma Mussa
1 year
AFTICAN BLACK SOAP
TZS 10,000
AFTICAN BLACK SOAP
Dar es Salaam
Africa black soap ni kiboko kabisa ? hii ni nzuri kwa ngozi na nywele. Inaitwa magic soap kwa ajili ya maajabu yake ? Faida za Africa black soap Inaondoa mafuta usoni kwa wenye ngozi ya mafuta na chunusi Inaondoa madoa kwenye ngozi hasa yaliyotokana na chunusi Kung'arisha ngozi na kuweka unyevu Inatoa harufu mbaya ya kwapa Inasaidia kufifisha michirizi Imatu...
TZS 10,000
Fatuma Mussa
1 year
CHOLEDUZ
TZS 70,000
CHOLEDUZ
Dar es Salaam
Faida za Choleduz (omega 3) ????Husaidia kuimarisha uwezo wa macho kuona ????Husaidia kuimarisha mifupa na kuongeza uteute kwenye joint . ????Husaidia kuondoa mafuta mabaya mwilini(bad cholesterol). ????Husaidia kuimarisha Afya ya ubongo na kurudisha kumbukumbu (kwa watoto na watu wazima). ????Husaidia katika Afya ya uzazi kwa wanawake,husaidia ukuaji wa mim...
TZS 70,000
Fatuma Mussa
1 year
RESTOLFY
TZS 90,000
RESTOLFY
Dar es Salaam
UMUHIMU WA RESTORLYF MWILINI RestorLyf inasaidia mwili kuzidi kujenga tishu zake na seli zake na kuzilinda dhidi ya mashambulizi ili kuzuia mwili kuchoka na kuzeeka haraka. Manufaa yake: ????Kupambana na Sumu mwilini ????Kuimarisha mfumo wa Kinga ya mwili ????Huondoa madhara ya pombe na sigara ????Huimarisha ufanisi wa insulin mwilini hasa kwa wagonjwa wa ki...
TZS 90,000
Fatuma Mussa
1 year
MYCHOCO
TZS 50,000
MYCHOCO
Dar es Salaam
MYCHOCO 1. Inakupa hamu ya kula 2. Inakupa kinga ya mwili 3. Inaimarisha mfumo wa kumbukumbu 4. Inatibu magonjwa ya watoto 5 inaongeza damu Kuipata tupigie 0764203852
TZS 50,000
Fatuma Mussa
1 year
Complete phyto energy
TZS 70,000
Complete phyto energy
Dar es Salaam
Complete Photo energizer ni product bora ya Afya inayotokana na virutubisho asilia kabisa . Product hii husaidia 1. kuondoa uvimbe wa aina yoyote 2. Matatizo yote ya Afya ya Uzazi 3. Allergy ya aina yoyote 4. Mateso ya Wakati wa Period kwa wanawake.. 5. Tezi dume kwa kinakaka 6. Matatizo ya Vidonda vya Tumbo!! Kuipata tupigie 0764203852 #completephytoenergiz...
TZS 70,000
Fatuma Mussa
1 year
LIVEN ALKALINE COFFEE
TZS 40,000
LIVEN ALKALINE COFFEE
Dar es Salaam
Liven alkaline coffee ni kahawa bora isiyo na caffaine na iliyochanganywa na virutubisho vitokanavyo na mimea ya asili. kazi yake ni: 1. kukupa nguvu 2. kutatua changamoto ya nguvu za kiume 3. kutibu magonjwa sugu kama kisukari, pressure, vidonda vya tumbo 4. kuondoa sumu mwilini 5. kuondoa hamu ya ulevi 4. kuimarisha kinga ya mwili Kuipata tupigie 076420385...
TZS 40,000
Fatuma Mussa
1 year
C24/7 supplement
TZS 75,000
C24/7 supplement
Dar es Salaam
Hii ni C24/7 ni bidhaa pekee inayotibu na kuzuia magonjwa zaidi ya 100 kwa wakati mmoja. . Mpaka yale magonjwa sugu kama kisukari, Pressure, Fibroids cancer, ulcers, uvimbe, Teza dume, Matatizo ya uzazi na mengine mengi kibao. . Ni kirutubisho kilichobeba zaidi ya virutubisho 22,000 kama vitamins zote A_B12, Zinc, Calcium, Proteins, Amino acids, uyoga aina 1...
TZS 75,000
Pro
Mohammed Jivanjee
1 year
Mtc store
1 year
Soap & glory face wash & clarity
TZS 50,000
Soap & glory face wash & clarity
Dar es Salaam
SOAP & GLORY VITAMIN C FACIAL WASH PRICE: 50,000/= Inacleanse uchafu wote na ku unclog your pores without over drying • Ina fight spot causing bacteria • Pia ina tone your skin leaving it feeling extra clean * Tighten pores, kwa wale wenye large visible pores Ina control shine • Ina zuia uso kupata breakouts za mara kwa mara % Ina tengeneza povu haraka a...
TZS 50,000