APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KISEKE PPF -ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko na public toilet -kodi Milioni 6 kwa mwaka -malipo ni miezi sita -umeme na maji unajitegemea ☎️ 0743220097
3 master Bedrooms na moja ipo ghorofani ina sitting room, 3 normal bedrooms, car garage (parking), public toilet, kitchen, Sitting and Dining room, mabanda 6 ya inje tofali, frame ya duka, gazeblle na nyumba imezungushiwa ukuta na Gate. Eneo size ni 2230 sqm
NYUMBA INAUZWA BUSWELU WILAYANI -ina vyumba vinne vya kulala ( viwili ni masterbed room ), sebule, jiko, stoo, dinning na public toilet -Pia kuna servant quater ya chumba kimoja self contained, sebule na jiko -ukubwa wa kiwanja ni 640 Sqm -kiwanja kimepimwa tayari -bei Milioni 170