SOCCER ACADEMY FOR KIDS FROM 3 YEARS OLD
      
              TZS 20,000
      
      SOCCER ACADEMY FOR KIDS FROM 3 YEARS OLD
      Dar es Salaam
      
      Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy. Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka. Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki. Tunafanya session za watoto kwa ratiba ifuatayo; Under 9 Tuesdays &Thursdays 4:30pm - 6:00pm Saturday 9:30am - 11:00am Under 7 Wednesday...
      
      
      
      
              TZS 20,000