Block Making Machine QTJ4-40B
Check with seller
Block Making Machine QTJ4-40B
Dar es Salaam
Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
Check with seller