Apartment for rent at kibanda cha mkaa Mbezi
TZS 500,000
Apartment for rent at kibanda cha mkaa Mbezi
Dar es Salaam
Nyumba MPYA ya kupanga, ipo mbezi kibanda cha mkaa, dakika 5 kwa miguu kufika kituo cha mwendokasi. Inavyumba viwili kimoja masta, sebule kubwa, dining, jiko, stoo, choo cha public, feni za juu, maji yanatoka ndani mda wote, mita ya umeme na maji inajitegemea, ziko mbili ndani ya get. Kodi ni laki 5 kwa mwezi, kodi ya miezi 6. Ukihitaji piga 0789928142
TZS 500,000