Tiba ya bawasiri (mgoro)
Bawasiri au kwa jina jingine watu wanaita mgoro,kuota kinyama sehem za haja kubwa ni moja ya tatizo kubwa ambalo linakumba watu wengi na wengi hushindwa kielezea hisia zao kwa kuogopa na kua na hofu
Ugonjwa huu unatokea hasa kwa wale watu wenue changamoto ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
Dalili zake
*Miwasho sehem ya haja kubwa
*Maumivu wakati wa haja kibwa
*Kutoa haja kubwa chenye damu
*kukaa kwa shida
Chanzo cha bawasiri
*Kukaaa kwa mda mrefu
*kutokupata choo au kupata choo kigumu
*matumizi ya madawa mbalimbali
*kutumia nguv nyingi wakat wa kupata haja
Sùruhisho
#tumia vyakula vyenye nyuzinyuzi(matunda,mbogamboga kwa wingi
#kunywa maji mengi ili kupata choo kilaini
#fanya vipimo kubain ukubwa wa tatizo lako
#muone daktar kwa haraka zaidi
Kama umezunguka sana kupata suruhisho la tatzo lako basi hii ni habar njema kwako nipo hapa kukusaidia kuondoa tatizo lako kwa kuanza na chanzo cha tatizo kisha tatizo kamili tutafute kwa mawasiliano hapo chini
Read more