Huduma za Fundi TV - Musa Electronics
Je, TV yako imeharibika au haifanyi kazi vizuri? Usihangaike! Musa Electronics inatoa huduma bora na za haraka za ukarabati wa TV aina zote kwa bei nafuu.
Tunashughulikia:
==>TV zinazoonesha picha hafifu
==>TV zinazokosa sauti au picha
==>Ukarabati wa motherboard na skrini
==>Masuala ya umeme na mengine mengi
Timu yetu ya mafundi wenye uzoefu inahakikisha huduma bora na za uhakika. Tunapatikana Dar es Salaam na tunatoa huduma kwa wateja wote ndani ya jiji na maeneo jirani.Piga simu sasa kwa huduma za uhakika na za haraka!
Read more