*HONDA INAUZWA Inauzwa gari aina ya *Honda* lina hali nzuri, linaendeshwa vizuri, na ni chaguo bora kwa matumizi ya kila siku. Bei M4. 📞 *Wasiliana:* 0786 522 839
TOYOTA MARK II GRAND INAUZWA Inauzwa gari safi aina ya *Toyota Mark II Grand*, lina nguvu, mwendo mzuri na lina muonekano wa kifahari. Lipo tayari kwa matumizi. 🚘 Aina: Toyota Mark II Grand 🛠 Hali nzuri sana, linafanya kazi vizuri *Bei*: TSh *5,500,000* 📞 *Wasiliana:* 0786 522 839
*TOYOTA IST INAUZWA Gari imara na la kisasa aina ya *Toyota IST* linauzwa. Linatumia mafuta kidogo, linaendeshwa vizuri na lina mwonekano wa kuvutia – lipo tayari kwa matumizi. *Bei*: TSh *8,000,000* 📞 *Wasiliana:* 0786 522 839
*NISSAN DUALIS INAUZWA Inauzwa gari la kifamilia aina ya *Nissan Dualis*, niya kisasa yenye nguvu, nafasi kubwa, na muonekano wa kuvutia. Inafaa kwa matumizi ya mji na safari ndefu. 🚙 Aina: Nissan Dualis ⚙ Transmission: Automatic ⛽ Injini: Petrol 💺 Ndani safi na viti vya kifahari 🧊 AC baridi 🛞 Alloy Rims 🛠 Hali bora – haijawahi kupata ajali 🔊 Screen + sound ...