Guest house inauzwa iko momboTanga
TZS 175,000,000
Guest house inauzwa iko momboTanga
Tanga
Guest house inauzwa, INA HATI MILIKI YA WIZARA YA ARDHI. Ni nyumba 2 ndani ya fensi moja, nyumba ya kwanza ukiingia getini upande wa kulia ni self kila kitu ndani,ina bedroom 2, tv room, na fremu ya Duka, nyumba kubwa ndani ya geti mkono wa kushoto ni self kila ndani vyumba 7, chumba au kaunta ya vinywaji,sebule kubwa yakwekea wateja tv! Nyumba inauzuwa mill...
TZS 175,000,000