NYUMBA INAUZWA
TZS 40,000,000
NYUMBA INAUZWA
Arusha
~Nyumba ipo East africa, jirani na kituo cha daladala Intel ~ukubwa wa eneo ni 14x20 ~nyumba ina vyumba 3, kimoja ni masterbedroom,sebule kubwa, dining, jiko, stoo na choo cha ndani (public toilet) ~Umeme upo na miundombinu ya maji ipo ~BEI 40,000,000 maongezi yapo. call & whatsapp +25567828201
TZS 40,000,000