*NISSAN DUALIS INAUZWA Inauzwa gari la kifamilia aina ya *Nissan Dualis*, niya kisasa yenye nguvu, nafasi kubwa, na muonekano wa kuvutia. Inafaa kwa matumizi ya mji na safari ndefu. 🚙 Aina: Nissan Dualis ⚙ Transmission: Automatic ⛽ Injini: Petrol 💺 Ndani safi na viti vya kifahari 🧊 AC baridi 🛞 Alloy Rims 🛠 Hali bora – haijawahi kupata ajali 🔊 Screen + sound ...