NYUMBA YA GOROFA INAUZWA MIKOCHENI B. NJE INA FRAMU 6 ZA BIASHARA LOC : MIKOCHENI B UKUBWA : SQMT 1197 PRICE : BIL 1.7 UMILIKI : HATI SIFA:- JUU KUNA -VYUMBA VITANO VYA KULALA, MASTER MBILI - CHOO CHA PUBLIC - STOO CHINI KUNA:- -SEBULE MBILI -VYUMBA VIWILI VYA KUKALA VYOTE MASTER -DINNING -JIKO -CHOO CHA PUBLIC -STOO PIA KUNA SERVANT QUATER YA VYUMBA VIWILI ...