Iki ni kitabu Cha soft copy kimetengenezwa kwa ustadi na kufanya uweze kujua mapishi ya vitafunwa mbalimbali kwa ajili ya biashara au nyumbani bei ya ni Tsh10,000 ila ofa ya Sasa ni punguzo Tsh 5000
Saratani ya matiti ni mabadiliko ya chembechembe hai zilizopo kwenye matiti Saratani hii kwa kawaida haina dalili katika hatua za kwanza hivyo unashauriwa kufanya uchunguzi wa Saratani mara kwa mara