EQ ya kitaalamu (professional) kutoka Behringer, model FBQ3102. Ina FBQ feedback detection system kwa kudhibiti mirindimo. Sauti safi, stable na rahisi kuset. Bei: 250,000/= Mahali: Dar es Salaam Simu: 0713533662
Nauza shamba Mwetemo lenye ukubwa wa heka 55 lipo umbali wa kilometa 6 kutoka barabara kuu ya lami kila eka moja inauzwa laki 500,000/= kwa mawasiliano zaidi pga no.0659628665/=--0625929692/=