🔊 RACK CASE / FLIGHT CASE YA SOUND SYSTEM 💰 Bei: 600,000/= 📍 Mahali: Dar es Salaam, Tanzania 📦 Maelezo: Rack Case imara kwa matumizi ya kitaalamu. Inafaa kuhifadhi na kusafirisha vifaa vya sauti kama power amplifier, mixer, equalizer, crossover n.k Ina magurudumu (wheels) kwa urahisi wa kusafirisha na locks imara kwa usalama wa vifaa. Aina: Rack Case / Fligh...
🔥 AMPLIFIER CA 20+ SOUND STANDARD – MPYA KABISA 🔥 💥 Power amplifier nzito kwa subwoofer & matumizi ya kazi (events, disco, kanisani, ukodishaji) ✅ Brand: Sound Standard ✅ Model: CA 20+ ✅ Hali: Mpya kabisa ✅ Power: Nzito, bass safi na nguvu ✅ Transformer: Toroidal kubwa ✅ Capacitors: Nyingi (power stable, haichoki haraka) ✅ Cooling: Fan mbili + heatsink p...
Kifaa hiki huwezesha cctv camera zako ziendelee ku rekodi matukio hata kama umeme umekatika. Umeme ukikatika automatically kifaa hiki kitajiwasha na hata umeme ukirudi basi automatically kifaa hiki kitajizima ili umeme uendelee kufanya kazi.
PS4 SLIM for sale with 500gb un-chipped in a very good condition. Comes with two controllers, power cable, controller charger and 4 cds as shown in the picture. PS4 SLIM inauzwa Ina 500gb ambayo haijachIpiwa na ipo katika hali nzuri sana. Inakuja na kontrola mbili, kebo ya umeme, chaja ya kontrola na cd 4 kama inavyoonekana kwenye picha.