Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
Used from Dubai Storage 128Gb Ram 8Gb Best Camera Tupo Kariakoo Jengo la Uhuru Plaza Delivery kwawateja wa Dar ipo Mikoani tunatuma kwauwaminifu mkubwa sanaa