Engine: 75hp
Powersteering
4cylinder
4wd
Location: sinza A opposite mlimani city
Iko kwenye hali nzuri sana haijawahi kutumika hapa Tanzania na huko ulaya imekuwa na mmiliki mmoja tu tokea upya. Kwa maelezo zaidi wasiliana nami mmiliki kupitia namba +255754874503