Versatile Inapatikana kwa geji 28 pekee na inakuja katika gloss na matte Finish.
Upana wake ni 1015 mm (upana wa halisi).
Urefu wa kawaida ni mita 2.1, 2.4, 2.7,3.0, 3.3, 3.6, 3.9, 4.2, 4.5 na 4.8 na inaweza kuongezwa hadi mita 6.
Versatile gloss inauza kwa Tsh 23,311 mita moja matte inauza kwa Tsh 24,448 kwa mita.
Kipindi cha Warranty (udhamini) wa gloss na matte ni miaka 15.
^MO +255787382840/+255758846435