Swahili:Ni dawa na pia tiba inapambana na kuondoa bacteria zote.••inaondoa harufu mbaya kinywani na kuwa fresh.••inang'arisha meno kuwa meupe.••inazuia meno kuoza.••inazuia fizi kuuma na kufanya ziwe na afya nzuri.••
English
Is a toothpaste that protects your teeth naturally against different bacteria, removes bad smell and odor, reduce tooth ache and tooth decay