1.Huondoa tezi dume na kuitibu bila upasuaji -
2. Huzuia kuvimba kwa tezi dume (prostate gland) na kutibu matatizo ya haja ndogo kwa wanaume
3. Husaidia na huongeza uzalishwaji wa majimaji yanayolinda mbegu za kiume (semen) zisiharibike
Dalili za tezi dume
1. Kutomaliza mkojo
2. Kupata ugumu wakati wa kukojoa
3. Kushindwa kuzuia hamu ya kukojoa
4. Wakati wa usiku kukojoa mara kwa mara
5. Kupungukiwa na nguvu za kiume au kuishiwa kabisa
6. Mkojo kutoka bila nguvu.