Picha frame (kioo)
TZS 25,000
Picha frame (kioo)
Dar es Salaam
Hizi frame za picha ni very Classic.! Nzuri kupendezesha kuta za nyumba yako, ofisi, restaurant, hotel, kumpa mtu zawadi n.k Tunatengeneza picha uitakayo wewe, iwe ni maneno au picha. Size A3 Tsh 25,000 Size A2 Tsh 60,000 Size A1 Tsh 90,000 #Glasspictureframe #pichanzuri #pambolaukutani #framezapicha #framezakioo #Gifteryshoptz
TZS 25,000