Nyumba imejengwa katika ubora kabisa ni ya vyumba 3 master room na sebule kubwa kabisa vyumba viwili vya kulala, public toilet na kitchen nyumba imeisha upande mmoja complete mbele seating room,na master room imeisha inamadirisha tayari na upande mwingine imenyanyuliwa hadi usawa wa dirisha ambapo ni vyumba viwili choo na kitchen na ina korido.Parking space ipo kubwa sana gari 3 hadi 4 zinakaa umeme upo jirani umbali km2 hadi barabara kuu ya lami (Mainroad) Chanika Nyeburu barabara safi kabisa