Vyumba 4 +Vyumba 2 ni Master bedroom.
Sebule.
Dinning .
Stoo.
Study room.
Jiko .
Eneo 1,144 sqmt- Panafaa kwa hostel ni mita chache kutoka Chuo cha Afya Kigamboni.
NOTE;Nyumba imezungushiwa ukuta nusu ya eneo.
Mabomba ya maji na umeme tayari yamewekwa.