39 Houses & Apartments for Sale, Ubungo in Tanzania
Houses & Apartments for Sale For Sale in Ubungo find different Houses & Apartments for Sale available for you in Ubungo, check here to find wide selection of quality Houses & Apartments for Sale in Ubungo.
Nyumba inauzwa bei ya kuokota: Nyumba ipo pazuri sana majirani km unavyoona hakuna kuombana chumvi Ina room 2 sebule jiko na public Eneo-sqm 400 Umiliki-mauziano serikali za mtaa Bei-ml 45 maongez kidogo Location- madale mivumoni Umbali-km 1.5 kutoka main road madale mwisho Karibuni
TZS 45,000,000
1 year agoHouses & Apartments for Sale532 people viewed
GHOLOFA LINAUZWA GHOLOFA LIPO KIBAMBA HOSPITAL GHOLOFA LIPO UMBALI WA MITER 700 KUTOKA MOROGORO ROAD GHOLOFA NI LA VYUMBA 4 VYOTE MASTER PUBLC MBILI JUU NA CHINI NA SEBULE MBILI JUU NA CHINI ENEO SQM 2016 BEI MIL 200 MAZUNGUMZO YAPO KUNA SEBULE MBILI BARAZA 6 HATI TITTLE DEED MAJI UMEME VIPO KARIBU SANA MTEJA
TZS 200,000,000
1 year agoHouses & Apartments for SaleNew427 people viewed
Nyumba mzuli ya kupangishwa inauzwa nyumba ipo mbezi ya kimara Nyumba ni ya vyumba 11 full wapangaji Nyumba ipo km1 Toka mbezi center Kili mpangaji analipa elfu 50 chumba Bei mil 58 Eneo miter 10 kwa 28 Karibu mteja
TZS 58,000,000
1 year agoHouses & Apartments for Sale359 people viewed
-NYUMBA INAUZWA KIMARA KOROGWE DSM - IKO KM 1 TOKA BARABARA KUU YA MORO ROAD - ENEO LINA UKUBWA WA HEKARI MOJA - NDANI YA ENEO KUNA NYUMBA 7 NA ZOTE ZINA WAPANGAJI. - ENEO LIMERASIMISHWA NA PANA MAWE TAYARI. - BEI YAKE NI 600M - KUPELEKWA NI 30,000
TZS 600,000,000
1 year agoHouses & Apartments for SaleUsedBuy443 people viewed
Four apartment units within one fenced compound with a gate. Each apartment has 2 bedrooms, which are self-contained, a living room, kitchen, and a guest toilet. Located 2 km from the tarmac road near Mti Pesa, Goba and 7 km from Mlimani City. Water is available at all times. All apartments are occupied and attracts tenants easily.
TZS 300,000,000
1 year agoHouses & Apartments for SaleUsedSell382 people viewed
NYUMBA YA MAKAZI INAUZWA. MAHALI: GOBA KULANGWA / KARIBU NA DIZZ PUB. (OPP. GOBA STAR PRI SCHOOL) UMBALI KUTOKA LAMI: HATUA 60 MTAA: GOBA STAR ROAD NYUMBA NUMBER: 14 SIFA ZA NYUMBA: INASEHEMU (3) 1. VYUMBA 3 VYA KULALA, MASTER KIMOJA SEBULE NA DINING JIKO PUBLIC TOILET METER YA MAJI NA UMEME - KUJITEGEMEA 2. SELF CONTAINER 1 MASTER BEDROOM, SITTING ROOM, SMA...
TZS 70,000,000
1 year agoHouses & Apartments for SaleUsedSell2071 people viewed