Shamba la ekari 4 linauzwa bagamoyo fukayosi
TZS 20,000,000
Shamba la ekari 4 linauzwa bagamoyo fukayosi
Pwani
Shamba la ekari 4 linauzwa mwavi fukayosi lipo umbali wa kilometa 2 kutoka main load ya bagamoyo msata zote kwa pamoja zinauzwa shiligi 20 Milioni shamba lipo barabarani kabisa unaweza kupanda mazao kama Nanasi ,Migomba, Papai ,Minazi ,Korosho ,Ndimu ,Maembe, Machungwa nk
TZS 20,000,000