Nyumba stand alone inapangishwa Mbweni karibu na Nyaishozi college. Ina vyumba viwili master bedroom (self-contained). Ina sebule, jiko kubwa na stoo.
Ina public toilet moja. Maji na luku inajitegemea.
Kodi ni laki 400,000 kwa mwezi (negotiable). Malipo ya miezi 6. Nyumba ni mpya kabisa.
Car parking space ipo.
Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0758906593.