Nyumba ndogo ya 3bdrm inapangishwa oyster bay zipo mbili kwenye compound ina room tatu chumba kimoja ni self contained ina public toilet ina jiko lenye makabati ina uwanja mkubwa
Bei milion 1.5 kwa mwezi
malipo ni mwaka au miezi sita
pamoja na malipo ya dalali ya one months
call/wasap 0714592413
0625503976