Nyumba/Kota Inauzwa maeneo ya ofisi ya mkuu wa mkoa Upande wa chini kama unaenda Mwembetogwa kupitia Pawaga road! inaeneo lenye ukubwa wa square meter 859. Karibu na mabanda Ya CCM. Ina hati miliki ya Wizara. Bei 180M(Mazungumzo yapo) Contact 0713794962