Houses/apartments For Sale

Houses - Apartments for Sale 4 views New Sell ID: 7986
TZS 170,000,000

Published on 2024/09/22

Houses/Apartments for sale Attributes

Property Size Sq Ft 2600
Bedrooms 4-Bedrooms
Bathroom 2-Bathrooms

Description

NYUMBA 4 KWENYE KIWANJA CHA 2600sqm, ZINAUZWA MICHESE DODOMA. zipo kilomita 8 kutoka mjini. Zipo jirani na reli ya SGR. Nyumba mbili zilizokamilika Zina muundo wa vyumba viwili vyote master sebule dinning na jiko. zingine mbili bado zinahitaji finishing. Moja ujenzi umefikia kwenye linta Ina vyumba vitatu vyote master, sebule, dinning na jiko. Nyingine ni servant quarter Ina chumba master na sebule na chumba master . Kiwanja kina ukubwa wa 2600sqm (zaidi ya nusu ekari). Kuna mandhari nzuri mno ya kuvutia: miembe, michungwa, migomba na garden nzuri ya maua. Maji ni ya uhakika, kisima kirefu na reserve tanks. Maelezo zaidi na kwenda kuona site. 0769619980.

Location

1115 Dodoma
Dodoma
Dodoma
Tanzania
-6.17221, 35.73947
Get directions →
+25576961xxxx Send message
Emmanuel John Mosha
Emmanuel John Mosha
2 active listings
Last online 8 hours ago
Registered for 10+ months
1115 Dodoma, 255, Nkhungu, Dodoma, Dodoma, Tanzania
Seller's profile All seller items (2)

Be careful!

Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement.
No serious private advertisers ask for a down payment before you meet.
Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
Report listing
+25576961xxxx Send message
Are you a professional seller? Create an account