Nyumba Inauzwa milioni 190.
Ipo Kigamboni kibada Dar es salaam.
Vyumba 3 Master 2 Sitting room jiko Dining room na Public Toilet.
Nyumba Ipo kwenye mtaa wa matajiri.
Nyumba Ina Tiles na jypsum.
Nyumba Ina maji safi na umeme.
Pia Nyumba Ina gereji. Nyumba full A/C.
Kiwanja Sqm. 800 Hati safi ya Wizara.