Nyumba inapangishwa Chumba,sebule,jiko na choo ndani. (Self contained) Ina fence, maji ya dawasco na matenk ya kuhifadhi maji. Ipo mbezi malamba mawili. Km 2 kutoka barabara kubwa ya mbezi-kinyerezi.
TZS 170,000
11 months agoRooms for Rent - SharedNew861 people viewed